Ujinga unaofanywa na baadhi ya wanafunzi wachache wa UDSM

CHIKACHAO

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Jamani!,m2 mwenye nia nyema na uchungu wa nchi hii,haweza kuleta mdhaa na maisha ya watanzania hata kidogo,wala kushawishika kwa chochote kile,sasa leo nawaona hawa wanaoitwa wanafunzi wa UDSM,wanaomzungumzia mnyika,mimi naona kama hawafai katika taifa hili la Tanzania,hususani jimbo letu la ubungo,mana ninaamin kusoma sio ndo kuwa na uwezo mkubwa wa kupambanua,kuchambua,kutatua matatizo yanayoikabili taifa letu la ubungo,mana wanaweza kuthubutu kuja kwetu wananchi na kusema heti walitudanganya elimu ya mnyika,kipindi cha uchaguzi ili tuweze kumchagua,huo ni upumbavu na mnakidhalilisha chuo chenu na wanafunzi wote wa mlimani,kuwa baadhi yao hawana uzalendo wa kweli na nchi yao,na tunawaomba tusiwaone katika jibo letu mkiongea katika mikutano,mana nyinyi ni wapumbavu.

Afu kipimo cha mbunge hatuangalii elimu peke yake bali ni nini anachosaidia katika kuleta maendeleo katika taifa letu na isiwe katika jimbo lako tu,je wewe katika kipindi chote hicho kama kweli unauwezo wa kujaji kwa elimu yako uliyoipata huko UDSM unaweza kuniambia kwamba mnyika akiwa na division yake ya 1.7 pamoja na serikali yetu inayokuwa kizuizi cha maendeleo ,hajafanya kitu?,Acheni siasa chafu kwa ajili ya chuki binafsi mana mnakidhalilisha chuo cheni na kuwatoa thamani UDSM

 
course nyingi za UDSM ni miaka 3 sasa ukiona wale wanaosema walimpigia kampeni mnyika mwaka 2010 wapo chuo mpaka leo basi ujue ni vilaza.
 
Kwani Ubilisi anaacha kufanya kazi ya kulaghai?
Yule ni baba wa uongo na wote wausemao uongo ni wana wake.
Pia siku zote wasio penda maendeleo ni watu.

Wajaribu linganisha kati ya Mnyika na hao wabunge wanaojiita Pro......utaona tofauti
 
Matatizo ya kusoma bila mitaala inayo eleweka; kilicho baki ni Umbeya tu ndo unao waweka mjini.
 
Nashukuru kufaham kwamba ni "baadhi" ya wanafunzi. Ndugu yangu naomba ukumbuke kwamba wasomi ndio WALA RUSHWA. binadam ni mbaya sana aisee! nafuu punda asie weza kuongea! Usomi ni kitu kingine na huruma ni kitu kingine!
 
Acha na haoo vibuushutu mkuu wangu wasikuumize kichwa kwanza hao hao hawajui hata maisha yalivyohuku mtaani hapo wanishi kwa matumaini na ndoto nyingi za huku mtaani kumi ngoja wamalize shule waje wajionee wenyewe
 
Kwani Ubilisi anaacha kufanya kazi ya kulaghai?
Yule ni baba wa uongo na wote wausemao uongo ni wana wake.
Pia siku zote wasio penda maendeleo ni watu.

Wajaribu linganisha kati ya Mnyika na hao wabunge wanaojiita Pro......utaona tofauti

elimu sio cv,elimu sio yale makaratasi yanayoitwa cheti.
 
mdogo wangu alikua CCM kabla ya kwenda chuo cha UDSM ila kufika kule akakosa mkopo Akajiunga na CDM. Jiulize angalipata mkopo angeingia CDM? Watu wenye opportunities hawataki kuwakumbuka watanzania! Wewe fikiria mtu kama Ndugai angekua ni masikini wa mitaani angekubali bunge kutorushwa laiv? Wee ngoja tu, iko siku hata kama mimi sita kuwepo!!!!
 
Ccm ndo zao,wamesharubuni vijana njaa. Eti nao wako Udsm! Vimburula vimejipenyeza mpaka mlimani! Pathetic. Vitakuwa ni vile vinavyosoma kozi ambazo hazina dili mtaani
 
Hao wote wanaomsema mnyika ni vilaza wa kutupwa jiulize mpaka leo hii wapo chuon ninavyofahamu mm koz nyng pale n 3yrs sasa jiulze.
 

hiz ni propaganda wala sio kweli wanafunzi wa UDSM hawawezi kufanya kitu cha aibu kama hicho. hizo ni propaganda za yule Chizi Lunartic, Shonza
 
Corrections::::Wanafunzi waliodahiliwa 2010Bado wapo mwaka wa3wanama liza mwaka huuuuu::::::
 

kaka ila chuo hicho chote si kimefungwa. Mikutano hio wanafunzi wanaifanyaje sasa, cjaelewa hapo asee
 
The great deal of eduction is not knowlege but action.
 
Corrections::::Wanafunzi waliodahiliwa 2010Bado wapo mwaka wa3wanama liza mwaka huuuuu::::::

unataka kuniambia hawa first year wa mwaka 2010 waliacha shughuli za udahili na kujiunga kwenye kampeni za mnyika?normally udahili unakuwaga miezi ya kumi.
 
Nyosha lugha mkuu,husomeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…