Ujinga wa diamond kujiona yeye ni clouds zaidi kuliko media zingine ni Ujinga uliopitiliza

Mkuu usipanik hiyo ndo Hali halisi, diamond kwa Sasa anaijua clouds tu, media zingine sio ishu kwake
 
Diamond platnumz au Diamond mwingine? Huwa namuona E fm, clouds, kuna kipindi meneja wake alikuwa anaenda kwenye media hadi za mikoani, kuhusu East Africa Tv nafikiri wanamgogoro.
Mgogoro gani mkuu, mbona nyimbo zake na za wasanii wake zipo hadi top ten za Eatv!!
 
mnataka huyo msanii akitoa nyimbo aje mpaka Moshi Fm kuitambulisha?

Beyonce hajawahi kufika hata clouds na Lemonade inaongelewa kila saa
 
hivi ni msanii gani aliyeanzisha media tour bongo kama sio dimond?

tuachane na hayo haya ukiachana na diamond ni wasanii gani wakubwa hapa bongo huwa hawaanzi kuintruce ngoma zao clouds
 
hivi ni msanii gani aliyeanzisha media tour bongo kama sio dimond?

tuachane na hayo haya ukiachana na diamond ni wasanii gani wakubwa hapa bongo huwa hawaanzi kuintruce ngoma zao clouds
Sio kweli hii kitu ilianzishwa na watu wa hip hop, sikumbuki ni Nan
 
mnataka huyo msanii akitoa nyimbo aje mpaka Moshi Fm kuitambulisha?

Beyonce hajawahi kufika hata clouds na Lemonade inaongelewa kila saa
Sasa unamfananisha Beyonce na diamond!!!
Ndio uwezo wa kufikir umeishia hapo mkuu
 
Sio kweli hii kitu ilianzishwa na watu wa hip hop, sikumbuki ni Nan
kitendo cha kushindwa kumkumbuka kunanipa mashaka na jibu lako.....

kingine ni kwamba diamond nyimbo zake huwa anazitambulisha raduio zote kubwa akianza na clouds... na hivi ndivyo waasanii wote waliopo chini ya fella na tale hufanya.. halafu usitegemee diamond aje kutambulisha nyimbo yake kwenye radio yako pendwa ya kifimbo
 

WW una yepi mafanikio hadi uwe mshauri na muonyaji wa diamond?!!

Umekula lkn mkuu?!
 
hahahhaahhaaaa,mkuu kifimbo fm,dah umenikumbusha dom aise...iyo radio hapo dom tu kuna maeneo ni chenga tupu!
 
umeanza lini kumfatilia diamond ngoja nikupe mfano wakati wanazidua hii nyimbo ya bado by harmonizer na hata raymond alienda karibia radio za zote dar na ratiba ilikuwa ivi
saa sita mchana walikuwepo kwny leo tena clouds
saa nane walikuwepo east africa radio halafu wakaingia radio one
saa 11alienda ubaoni e.fm
saa moja alikuwa tbc fm papaso
saa 3 alikuwepo magic fm
cku iliofata
saa nane alikuwa uhuru fm
saa kumi times fm
saa moja alienda sibuka fm
hamna msanii anaefanya media tour km diamond anafikaga karibia kila radio
uku pembeni said fella alikuwa anatembelea radio za mkoani
 
mtu radio yako inaskika mabibo tuu afu eti nawe unataka daimond akutembelee kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…