Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna anaeongezeka zaidi ya wewe anaekushikisha ukutaHii hadithi yako nyepesi sana tulishasikia kubwa sanaaaaaaaaa zaidi ya hii,lakini ndo kwanza badala wampungue mashabiki wake ndo kwanza wanazidi kuongezeka na unazidi kumpromoti pasipo mwenyewe kujua. We tuletee hata ya kabla hajazaliwa alisema nini sio hizo za 2013 na bado tunampenda tutaendelea kumpenda na hatutaacha kumpenda na wala hatufikilii kutokumpenda.
Wewe tulikufanya kwa kuwa ulipenda mwenyewe hatujakubaka wala hatukukulazimisha sasa iweje hata mtu akikushinda hoja iwe hicho tulichokufanya wewe (kukushikisha ukuta) ndo liwe neno lako ????????Hakuna anaeongezeka zaidi ya wewe anaekushikisha ukuta