HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Waafrika mmetengenezewa utegemezi kila kitu ktk dini na mategemeo ya baadae siyo sasa ebu fikiria watu wanategemea kuna kupaa na kwenda mbinguni kuishi wakati haohao wanaowaaminisha hivyo wanasema dunia ni duara/ yai na inaelea hewani,sasa huko mbinguni ni wapi kama siyo ujinga wa Wafia dini wa kiafrika?