Siku ambayo waafrika wataachana na hizo takataka ziitwazo dini na ndipo hata akili zitafunguka na maendeleo yataonekana.
Haiwezekani kujivika utamaduni wa mgeni, historia ya mgeni na imani ya mgeni alafu utegemee maendeleo, hiyo haipo, ndiomaana nchi zilizojitambua kama, South&North korea,China, india, huwezi kukuta huu ushenzi wa wananchi kukumbatia hizo dini ambazo hawana ushirika nazo kiutamaduni&kiimani, isipokuwa imani pekeee wanazozishika ni zile zinaofungamana na asili yao.
Afrika tumedandia imani na dini za watu weupe zinazotulazimisha kuukataa utu wetu kuanzia kimwili,kinafsi mpaka kiroho, hivyo hata mambo tunayoyatenda ni takataka hatuna tofauti na maroboti mabovu.