๐๐
Wapi wanadai hivyoIvi kumbe siku hizi ukimwamini MUNGU ndo unakuwa mjinga na usipoamini uwepo wa MUNGU ndo unakuwa na mwelevu?
Mtoa topic anadai hivyoWapi wanadai hivyo
Atheists bongo hawazidi hata 10 ,ila wanaleta msongo wa mawazo kwa theists mamilioni, angalia hata humu jfRudia kusoma uzi.
Soma vizuriMtoa topic anadai hivyo
Dah!Tunapoelekea sasa!
Inasikitisha!Ivi kumbe siku hizi ukimwamini MUNGU ndo unakuwa mjinga na usipoamini uwepo wa MUNGU ndo unakuwa na mwelevu?
Nafikiri wako wako kadhaa bwashee sema ndio hivyo inabidi waishi kwenye closet kama mashoga๐Atheists bongo hawazidi hata 10 ,ila wanaleta msongo wa mawazo kwa theists mamilioni, angalia hata humu jf
Sifikiri kama wapo wengi, wengi waliopo , ni Agnostic, na wanafki wa imani tuNafikiri wako wengi bwashee sema ndio hivyo inabidi waishi kwenye closet kama mashoga๐
Kuna siku nilipanda dalaladala dereva akawepa audio clip ya jamaa fulani wanaitwa wachokonozi wanahoji mambo ya mungu na dini kawaida tu, hali ilichafuka kwenye dalaladala utulivu ukakosekana kabisa.
Kama una bisha jaribu...๐๐๐๐๐
Huyo jamaa ni mtaalam kabisa sio kama anachekeshaDah!Tunapoelekea sasa!
Wengi wapo hivyo na hawajijui , ukiwabana na maswali ya uwepo wa Mungu wana anza kuhoji kama Agnostic ,wachunguze vizuri, utagundua kituAgnostic kama sub ya Atheist tu iliyo bench, au kama bia na konyagi.
Kama mko wengi namna hiyo mbona Mungu wenu hawakingi na maovu?Atheists bongo hawazidi hata 10 ,ila wanaleta msongo wa mawazo kwa theists mamilioni, angalia hata humu jf