min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Aug 16, 2026 #21 Kim Jong Jr said: Kama mko wengi namna hiyo mbona Mungu wenu hawakingi na maovu? Kuuawa Njaa N.k Click to expand... Ndio swali la kujiuliza , Labda Mungu amelala.
Kim Jong Jr said: Kama mko wengi namna hiyo mbona Mungu wenu hawakingi na maovu? Kuuawa Njaa N.k Click to expand... Ndio swali la kujiuliza , Labda Mungu amelala.
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 3,248 Reaction score 6,146 Aug 16, 2026 #22 Beira Boy said: Ivi kumbe siku hizi ukimwamini MUNGU ndo unakuwa mjinga na usipoamini uwepo wa MUNGU ndo unakuwa na mwelevu? Click to expand... Mambo ya ajabu sana, wanajidanganya
Beira Boy said: Ivi kumbe siku hizi ukimwamini MUNGU ndo unakuwa mjinga na usipoamini uwepo wa MUNGU ndo unakuwa na mwelevu? Click to expand... Mambo ya ajabu sana, wanajidanganya