wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Ukiwa mtu wa mwisho,karibu ya goli,ukamzuwia mchezaji wa timu pinzani kufunga,hiyo ni red,ukishika ndani ya 18 ni penatiNawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli.
Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki
Kwao wanaona ipo poa tu.
una uhakika alishika mpira?Ukiwa mtu wa mwisho,karibu ya goli,ukamzuwia mchezaji wa timu pinzani kufunga,hiyo ni red,ukishika ndani ya 18 ni penati
Azam hawakuonesha vizuri Hilo tukio,Ila refa alikua karibuuna uhakika alishika mpira?
Unawafamu Karia na Katelephone wewe? Patatafutwa sababu yoyote mechi usogezwe mbele mpaka mokolo timu yao ikae sawa.Na Ndo Kwanza Tunaanza Tukutane Dec 11 Mamaeeee
[emoji23][emoji23][emoji23] Kabisa MkuuUnawafamu Karia na Katelephone wewe? Patatafutwa sababu yoyote mechi usogezwe mbele mpaka mokolo timu yao ikae sawa.
Sisi tunachijua tumeshinda goli 3 na point 3 hayo mengine mnayajua ninyiNawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli.
Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki
Kwao wanaona ipo poa tu.
Kama Ni wapuuzi unawasikiliza wa nini?
Mpira wa leo tukiweka ushabiki pembeni mayele kakumbatiwa ndani ya box wakati anataka kupiga tikitaka mpira hiyo Ni clear penalty.
Kadi nyekundu ni halali Yule Yule Baki alikuwa beki wa mwisho Ni juzi tu beki wa Manchester city alipewa kadi Kama hiyo kwenye mechi yao na palace.
Tatizo la wabongo tunaangalia Moira kwa ushabiki was Simba na yanga