wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
- Thread starter
- #21
Kumbe yanga ilikuwa mbovu, wala haijawahi kuwa inahujumiwa kama walivyokuwa wanawaamisha mashabiki wao.Unawafamu Karia na Katelephone wewe? Patatafutwa sababu yoyote mechi usogezwe mbele mpaka mokolo timu yao ikae sawa.
Ama leo karia amekuwa yanga?