Ujinga wa wachambuzi wa clouds kutetea makosa ya refa mechi za Yanga

Unawafamu Karia na Katelephone wewe? Patatafutwa sababu yoyote mechi usogezwe mbele mpaka mokolo timu yao ikae sawa.
Kumbe yanga ilikuwa mbovu, wala haijawahi kuwa inahujumiwa kama walivyokuwa wanawaamisha mashabiki wao.

Ama leo karia amekuwa yanga?
 
Makolo tulieni, papara za nini kesho siyo mbali na namungo fc
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kabisa Mkuu
Tena watashauriwa kabisa andikeni barua ya kuomba mechi usogezwe mbele.

Halafu utasikia mechi umesegezwa mbele kumpa nafasi mwakilishi pekee wa nchi ajiandae vizuri kwenye kombe la Shirikisho ili tufanikiwe kumaintain point zetu za CAF.

Kumbe janja ya kughairisha kichapo.
 
Ukishika ni penati,mpira ukikugonga mkononi so penati,wanaita natural position
Kwa kesi ya jana haikuwa penalt
1. Mayele ndiye aligongwa na mpira mkono (sio golini kwake hivyo haiwezi kuwa penalt)

2. Refa hakuona bali aliamua kwa mihemuko kwani mayele alionesha mchezaji wa ruvu alishika mpira lakini ukitazama marudio utaona mayele wakati anadondoka hakuwa anatazama mpira unakoelekea na bado akaonesha beki kaushika.

3. Yanga aidha wakubali timu ingine ikipata penalt haijabebwa au wakiri kuwa na wao walibebwa kwa penalt ile.
 
Mkono wa mayele na beki wa ruvu upi ilikua chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…