Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ladha ya msosi ni pilipili na ndimu, nimefunga mjadala.baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ldha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvy anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
😂😂😂😂🚮Waliosema Pilipili Usiyoila Yakuwashia nini nadhani walikuwa jirani zako....
Jaribu kula chakula bila chumvi ndiyo utajua hata anayetumia pilipili yuko sahihi.baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ldha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvy anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
Faida za kula pilipili....
Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza pilipili sasa ladha ya msosi utaijulia wa wapi?
Pilipili inakata pumzi
🤣🤣🤣🤣Waliosema Pilipili Usiyoila Yakuwashia nini nadhani walikuwa jirani zako....