Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Most of these people wana roho mbaya sana, yaani ukiwa Nairobi wakikusikia unaongea kiswahili accent ya Bongo wanakutreat vibaya mno.. wakat Bongo huwa tunawachukulia kama ndugu zetu, Ni watu wa kuwa nao makini sana wameshatusaliti katika mambo mengi sana
Heri ninyi wenye roho safi kama theluji mtaenda mbinguni .