Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Analipwa sh ngapi basina davido?, hata hela ya bando hapewiPromo kazini
[emoji38] [emoji38] Twanga tena
Kumbu moja ya ngoma iliyomuweka juu kaigonga tekno..Niaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule
Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa muimba kwaya wizkid na yule mpenda sifa tecno na huyu ndugu yetu domo dimond
Kwa kifupi yaan kwa sasa davido kwa africa hana mpinzan jamaa kawateka mashabiki ile mbaya
Pongez sana kwake na kwa kazi zake nzurri kama
A if
B fall
Nawasilisha
HahahaAnalipwa sh ngapi basina davido?, hata hela ya bando hapewi
Nimetoka kuuangalia huu wimbo sasa hivi, kweli jamaa ni shida, mashairi beat yaani mwake kabisa bonge la ngoma..halafu mpaka ujue ni davido baadae sana..sio ile beat ikipigwa tu unajua fulani wimbo mkali sana.If i offend you,
If i offend you, baby,
Sorry oh baby take heart oh
Sorry oh baby take heart oh
I'm in love with you,
And i'm in love with you.
Nothing baby go fit change om ah
Nothing baby go fit change om ah.
Huyu jamaa ni shida mkuu
Katika watu ninao wakubali kutoka naija ni hao ulio waponda TEKNO& WIZKID
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya sasa kumekuchaDavido anasifika kwa promo za kijinga ila kimuziki hawawezi Twanga, Vijana, na Ngwasuma......hili halina ubishi hata kidogo. Jamani muziki una watu wake, kile ni kipaji kingine kabisaaaa.
Usisahau kua tecno ndo anamwandalia kila kitu davido kwa sasa davido kazi yake kuimba tu,kwanzia ile IF hadi hii FALL kaandaliwa masairi yote kifupi mtunzi tecnoNiaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule
Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa muimba kwaya wizkid na yule mpenda sifa tecno na huyu ndugu yetu domo dimond
Kwa kifupi yaan kwa sasa davido kwa africa hana mpinzan jamaa kawateka mashabiki ile mbaya
Pongez sana kwake na kwa kazi zake nzurri kama
A if
B fall
Nawasilisha
Tecno ndo anamwandalia nyimbo hiyo davidoKatika watu ninao wakubali kutoka naija ni hao ulio waponda TEKNO& WIZKID
Pale amemaliza.Fall ni kiboko yao
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Alikua anamtafuta kumbe.Pale amemaliza.
Domo hampati tena.
Ule wimbo ni mkali kinoma sema hapa wanafiki ni wengi sana mkuuNimetoka kuuangalia huu wimbo sasa hivi, kweli jamaa ni shida, mashairi beat yaani mwake kabisa bonge la ngoma..halafu mpaka ujue ni davido baadae sana..sio ile beat ikipigwa tu unajua fulani wimbo mkali sana.