Ujio mpya wa Davido ni shidaaa!!

Ujio mpya wa Davido ni shidaaa!!

Davido nyimbo yake ya fall ni ya kawaida, itafute nyimbo mpya ya wizkid turn on the light, bonge la nyimbo, ameiachia audio juzi bado video.
 
hiyo ndo inasifiwa namna hiyo ....nimeingia kidogo tu you tube nimeona upumbavu tu nikatoa fasta nilijua nibonge la ngoma bora hata nundu ya harmorapa
 
Niaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule

Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa muimba kwaya wizkid na yule mpenda sifa tecno na huyu ndugu yetu domo dimond

Kwa kifupi yaan kwa sasa davido kwa africa hana mpinzan jamaa kawateka mashabiki ile mbaya

Pongez sana kwake na kwa kazi zake nzurri kama
A if
B fall

Nawasilisha
Kumbu moja ya ngoma iliyomuweka juu kaigonga tekno..
 
If i offend you,
If i offend you, baby,

Sorry oh baby take heart oh

Sorry oh baby take heart oh

I'm in love with you,
And i'm in love with you.
Nothing baby go fit change om ah

Nothing baby go fit change om ah.

Huyu jamaa ni shida mkuu
Nimetoka kuuangalia huu wimbo sasa hivi, kweli jamaa ni shida, mashairi beat yaani mwake kabisa bonge la ngoma..halafu mpaka ujue ni davido baadae sana..sio ile beat ikipigwa tu unajua fulani wimbo mkali sana.
 
Davido anasifika kwa promo za kijinga ila kimuziki hawawezi Twanga, Vijana, na Ngwasuma......hili halina ubishi hata kidogo. Jamani muziki una watu wake, kile ni kipaji kingine kabisaaaa.
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya sasa kumekucha
 
Kawaida sana alichofanya Davido, ngoja tusubiri Icon wa Afrika King Kiba aka Balozi wa Wanyama atoe kitu aje afunike.

Maana mpaka sas Aje bado inatrend vibaya mno.
 
Niaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule

Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa muimba kwaya wizkid na yule mpenda sifa tecno na huyu ndugu yetu domo dimond

Kwa kifupi yaan kwa sasa davido kwa africa hana mpinzan jamaa kawateka mashabiki ile mbaya

Pongez sana kwake na kwa kazi zake nzurri kama
A if
B fall

Nawasilisha
Usisahau kua tecno ndo anamwandalia kila kitu davido kwa sasa davido kazi yake kuimba tu,kwanzia ile IF hadi hii FALL kaandaliwa masairi yote kifupi mtunzi tecno
 
Mbona hamuzungumzii kipini alichotoboa huyo davido..!?
Au Nigeria ni kawaida mtoto wa kiume kutoboa pua..!?
 
Nimetoka kuuangalia huu wimbo sasa hivi, kweli jamaa ni shida, mashairi beat yaani mwake kabisa bonge la ngoma..halafu mpaka ujue ni davido baadae sana..sio ile beat ikipigwa tu unajua fulani wimbo mkali sana.
Ule wimbo ni mkali kinoma sema hapa wanafiki ni wengi sana mkuu
 
Back
Top Bottom