Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
HaaaaBaba Tunda
Duh!afande kavaa kandambili papa na nguru!Nimeisikiliza hiyo nyimbo jamaa ameimba vizuri na man water kamtengenezea bit nzuri jamaa anakipaji sema inabidi aachane na makundi mabaya ya wavuta bangi watampoteza tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!afande kavaa kandambili papa na nguru!
nani alikwambia kuwa bahati huja mara mbili maishani!!?mkuu vp huyu ni kijana kama wew anaetafuta maisha kutumia kipaji chake bado ana nafasi
Same hereKama mimi,yaani naogopa kua disappointed
mkuu hata kama hatochukus tuzo tano tena ila iyo ndo kazi yake mnataka aibe mumue hicho ndo anachotegemea kutunza familianani alikwambia kuwa bahati huja mara mbili maishani!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kachumbariHuyu aliyevaa kachumbali miguuni ni nani?
sindano ndogo inayoshona makoti, twenty par- tatizo bangiWimbo uko poa
twenty sio bahati, twenty kipaji, sema usela wa kijinga na bangi ndio unaomchanganya mzaramo mwenzakonani alikwambia kuwa bahati huja mara mbili maishani!!?
Naogopa hata udownload...
Huyo kushoto ni mgambo sele?Nimeisikiliza hiyo nyimbo jamaa ameimba vizuri na man water kamtengenezea bit nzuri jamaa anakipaji sema inabidi aachane na makundi mabaya ya wavuta bangi watampoteza tena