Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

Daah 20%ulikuwa wap sikuzote hiziii nilimiss nyimbo kama hizi..."nilisema atoee, atoee kama hatoi asinijuee"... ujumbe kwa wanaume wote ambao wanakataa mimba na kukimbilia kuonyesha marafiki watoto wakizaliwa..he hehe angetoa ungeonyesha mdolii
 
Nimeisikiliza hiyo nyimbo jamaa ameimba vizuri na man water kamtengenezea bit nzuri jamaa anakipaji sema inabidi aachane na makundi mabaya ya wavuta bangi watampoteza tena
01642f810ae453f05b1ebf567f238383.jpg
Duh!afande kavaa kandambili papa na nguru!
 
Wimbo mzuri,ila anatakiwa habadilike sana kimuziki,lakini mimi ananikera huo muonekano wake yuko rafu rafu hata hajitunzi sijui ndio mibange.
 
Back
Top Bottom