Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

kweli hakuna anaeweza pendwa na wote kama pesa track ina gusa maisha ya vijana wengi
 
Nilijua ni pekee angu haaaa haaa eti nimejiuliza nikasema nikaushe duh jamaa namuelewa sana kazi zake mara nyingi namuombea heri,nikipata ujasiri nitaupakua.
Ulete mrejesho.. Maana Chidi nae karudi sjui na mchiriku..
 
Jeuri yake imekwisha amenyooka.
20% ni mwanamuziki anayejua kutunga nyimbo zenye hisia kali na ujumbe unaoishi.

Wimbo huu utakubalika sana na kundi la watu wenye akili, ameiasa jamii kwa matukio halisi kabisa. Kama kawaida yake, jamii za kidini na Wachamungu hawataacha kuupenda huu wimbo. "Nasema sitoi, liwalo na liwe, huwezi kujua atakuja kuwa nani. Nakuambia katoe la sivyo usinijue".

Sisi wanaume hovyo, mtoto ametusua sasa dingi anaenda kujipendekeza kama vile alikuwa na mchango mkubwa katika matunzo. Inatia hasira, baba wa namna hiyo anaumiza sana roho. Nitamsaidia kama anadhiki lakini sitokuwa tayari kumuweka karibu.
 
Sisi wenye busara tutamsikiliza na kumchambua ...ila naona ujumbe umenyosha mshale kwa mdau fulani hivi..

Mtoto katusua baba kajipendekeza....mmmh
 
Nilijua ni pekee angu haaaa haaa eti nimejiuliza nikasema nikaushe duh jamaa namuelewa sana kazi zake mara nyingi namuombea heri,nikipata ujasiri nitaupakua.
Hata Mimi sitaki ku udownload nahofia unaweza kuwa mbaya nikasikitaka na kumuonea huruma!
 
Nyimbo mpya ya 20% ndio nini? Umoja na Wingi unajua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…