Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulete mrejesho.. Maana Chidi nae karudi sjui na mchiriku..Nilijua ni pekee angu haaaa haaa eti nimejiuliza nikasema nikaushe duh jamaa namuelewa sana kazi zake mara nyingi namuombea heri,nikipata ujasiri nitaupakua.
Hahahaaa...Mmmh Biti hili ni la wimbo wa "Njoo ufanyiwe maombi" sijui Bony Mwaitege yule. Au masikio yangu mabovu?
Aliekuwa anataka kwenda mjengon ddmHuyu aliyevaa kachumbali miguuni ni nani?
Wanakela kwel, uwex sikiliza na wazaziIko poa,tumemisi watu kama 20%,wakoloni nk, siku hizi kila siku bebi,bebi,bebi,bebi.
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mororgoro mjini kupitia ACT wazalendoHuyo kushoto ni mgambo sele?
Sisi wenye busara tutamsikiliza na kumchambua ...ila naona ujumbe umenyosha mshale kwa mdau fulani hivi..Jeuri yake imekwisha amenyooka.
20% ni mwanamuziki anayejua kutunga nyimbo zenye hisia kali na ujumbe unaoishi.
Wimbo huu utakubalika sana na kundi la watu wenye akili, ameiasa jamii kwa matukio halisi kabisa. Kama kawaida yake, jamii za kidini na Wachamungu hawataacha kuupenda huu wimbo. "Nasema sitoi, liwalo na liwe, huwezi kujua atakuja kuwa nani. Nakuambia katoe la sivyo usinijue".
Sisi wanaume hovyo, mtoto ametusua sasa dingi anaenda kujipendekeza kama vile alikuwa na mchango mkubwa katika matunzo. Inatia hasira, baba wa namna hiyo anaumiza sana roho. Nitamsaidia kama anadhiki lakini sitokuwa tayari kumuweka karibu.
Huyu aliyevaa kachumbali miguuni ni nani?
Aisee nani alimkubalia kuchukua fomu ya kugombea?mbona anaonekana kama chizi flani hiviAliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mororgoro mjini kupitia ACT wazalendo
iyo ndio sauti og ya kiume sio ya kirembo kamaSauti yake inakwaruza sana
Nimecheka sana....nyimbo nzur japo watu kuelewa ndo tatizo itahit vilabuni
Mimi nashangaa wakati mashamba ni mengi na ni mapori!Sasa hivi kila msanii anataka kurudi kwan hamna kazi nyingine za kufanya
Hata Mimi sitaki ku udownload nahofia unaweza kuwa mbaya nikasikitaka na kumuonea huruma!Nilijua ni pekee angu haaaa haaa eti nimejiuliza nikasema nikaushe duh jamaa namuelewa sana kazi zake mara nyingi namuombea heri,nikipata ujasiri nitaupakua.