Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

Ujio mpya wa msanii 20% na wimbo wa 'Sitoi'

Safari bado ndefu atambue game imebadilika sana
 
Nimeisikiliza hiyo nyimbo jamaa ameimba vizuri na man water kamtengenezea bit nzuri jamaa anakipaji sema inabidi aachane na makundi mabaya ya wavuta bangi watampoteza tena
01642f810ae453f05b1ebf567f238383.jpg
 
Back
Top Bottom