cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
HaswaaaahHujakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaaahHujakosea
PoaaaahMalkia havai crown km hiyo Mkuu..
Mambooo Coca
Alilogwa au?Kapitia suluba nyingi sana kiafya
Ukiangalia vizuri hapo Rose pekee ndiye aliyezama kwelikweliNikishasikiaga tu maombi ya "shakarobo bobobosanda" huwa nakimbia spid meter 120 kwa saa 1 maana nahisi kuna ukakasi wa Roho Mtakatifu kujifunua jinsi ipasavyo kunenwa kwa lugha kama ilivyonenwa katika Biblia.
Mi mimeshangaa sana kumuona ivo mtumishi wa bwana kwasababu kitambo nilikuwa namuona Dodoma alikuwa vizuri sana aliishi nyumba nzuri na kuendesha magari mazuriHilo swali gunu sana
OkayIngia youtube ujionee mapito yake
kuimba nyimbo za dini haimaanishi kuwa ni kweli uko katika imani ya dhati na diniHakuna kitu ambacho wazungu na Waarabu wametutenda kama kutuletea hizi dini zao. Waafrika wamejeruhiwa akili kabisa na wenyewe hawajijui.
Kweliwaimbaji wa nyimbo za dini wengi wao si wenye imani ya kweli katika dini.bali wapo kwa maslahi ya kidunia na kiuhalisia huwa na mengi machafu
nipo narejea kauli za mzee yusufu wa taarab alisema kuwa alikuwa muimbaji wa kaswida kisha akaingia katika taarab kisha akasema anarejea kwa mola wake na kuachana na taarab na makka alienda kuhiji ila tena sasa anarudi tena kwenye taarabu.
IMANI mahala pake ni moyoni wala sio mdomoni
TUACHENI UNAFIKI KATIKA DINI
Kuna kipindi huyo mdada alianza kunena..amashakarabobo amino foko noko...boko hololoo ....oy oy oy....da! nilichoka hatari yaani eti ndo kafurika na roho mtakatifu studio daaNikishasikiaga tu maombi ya "shakarobo bobobosanda" huwa nakimbia spid meter 120 kwa saa 1 maana nahisi kuna ukakasi wa Roho Mtakatifu kujifunua jinsi ipasavyo kunenwa kwa lugha kama ilivyonenwa katika Biblia.