Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Stereo a.ka Africa son ( Salam toka jela, Mawaidha, Rafiki, Nitabaki juu n.k Namuitaga Tzania Hip hop Icon achana na wale mabundi weusi dawa sumu mbele ya roho.
Mkuu kama Stereo ni Tanzania hip hop icon vp Fareed kubanda ni nani?
 
Nigerians wako mpaka huku Bongo uswahilini? Lazima tuwe waangalifu na hawa watu.
 
Namuelewa stereo ila huu wimbo ni mbaya. Stereo, one, Nikki mbishi, songa, zaiid wanajua

Wakazi, Nash mc hamna kitu.
 
Kilingeni wameisha wote, amebaki nani Nash MC? Ila kumbukeni Stereo alishawahi kujaribu mainstream under AY akafeli, subiri tuone WCB
 
Wapendwa naomba kuuliza.Hivi hawa wasanii wanapataje faida kwenye kazi zao.Niki6angalia gharama za maandalizi ni kubwa.Je wanategemea CD kuuza na kupata faida?Msanii anaandaa kazi yake Afrika ya kusini kwa mfano.Tiketi za ndege,hotel,nk.Kazi zao nazikuta kwenye google nadownload 'for free' au wanalipwa na google pia?Vituo vya redio na TV?
 
Da mtamaduni...
Alianza kumlilia chemical mahewani.... Leo amekacha rasmi boom bap, R.I.P stereo, tulikupenda lakini usafini kumekupenda zaidi..... Pumzika kwa amani.
Uliwahi kulipa pesa na demu wako kwenda kwenye show ya sterio au nyie ndiyo wale mnapenda msikilize miziki ya masela geto tu wakati hawanufaiki na ushabiki wenu??
 
Record label inamlipa

Compilation CDs

Shows

Matangazo

Caller tunes

Online downloads

Composing lyrics

....... TV shows..... Journals ... Magazines...

Wanasource nyingi sema wengi shule ndogo..
 
Kuna watu wana WIVU nchi hii yan wakiona umeenda WCB wanatokwa povu.Hivi mziki wa nikki,songa,chindo na wagumu wengine unawasaidia nini??manake un
mziki ni kazi kwa sasa masuala ya harakati achieni wana siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…