ElviceJunior
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 311
- 373
Mkuu kama Stereo ni Tanzania hip hop icon vp Fareed kubanda ni nani?Stereo a.ka Africa son ( Salam toka jela, Mawaidha, Rafiki, Nitabaki juu n.k Namuitaga Tzania Hip hop Icon achana na wale mabundi weusi dawa sumu mbele ya roho.