Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Hawa wasanii wengine huwa nawaona tu JF. Radioni,kwenye tv,disco,bar,na sehem zingine sijawahi msikia
 
Stereo a.ka Africa son ( Salam toka jela, Mawaidha, Rafiki, Nitabaki juu n.k Namuitaga Tzania Hip hop Icon achana na wale mabundi weusi dawa sumu mbele ya roho.
 
Da mtamaduni...
Alianza kumlilia chemical mahewani.... Leo amekacha rasmi boom bap, R.I.P stereo, tulikupenda lakini usafini kumekupenda zaidi..... Pumzika kwa amani.
 
Back
Top Bottom