Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Ujio mpya wa stereo(singasinga) ndani ya WCB

Kuna watu wana WIVU nchi hii yan wakiona umeenda WCB wanatokwa povu.Hivi mziki wa nikki,songa,chindo na wagumu wengine unawasaidia nini??manake un
mziki ni kazi kwa sasa masuala ya harakati achieni wana siasa
Kwangu huwa nasema anayefanya mziki ndiye anajua anachogain.

Aidha pesa au passion kwake.
 
Wanaotunga nyimbo huwa na akili sana maana kupangilia mistari ni kazi ngumu na ndo maana wachache wanaweza

Mfano kwenye Show me ya Harmo
 
Ile nyapu aliyokua anafukuzia kipindi kile huenda sasa hivi itajileta yenyewe!
 
Kilingeni wameisha wote, amebaki nani Nash MC? Ila kumbukeni Stereo alishawahi kujaribu mainstream under AY akafeli, subiri tuone WCB
Nash Mc anadai hata wahonge Nyumba,gari waongeze na meli hawezi ikacha tamaduni yake..


Nash siku hizi anapanda mwewe...Uropa yupo anaivuruga tu.
 
Wimbo upo vizuri.

Toka lini kajiunga WCB huyu singasinga...?
 
Laiti kama ungefahamu mchango wa One kwa Stereo tangu kuanza kwa game yake ya music, usingesifia ujio wake kwa Single moja tu..anyway ngoja tuone!

kwani mpaka leo AY anarecord nyimbo zake zote kwa P.Funk Majani??
 
Back
Top Bottom