Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Kuna mahala inafika unaona kabisa AI inachukiza sana maana kwa sasa ni ngumu kujua ipi video halisi ipi video ya kutengeneza .
Kwa sasa kila nikiona video hata iwe na uzito kiasi gani nashindwa kuichukulia serious .
Na wengi wanaoongoza kuleta video za AI ni wanaharakati uchwara wasiojielewa .
Mfano kuna video niliiona leo Ruto akimkataa Samia kuhusu suala la kuwatandika gen Z wanaowapinga, ile video niliipenda sana ila baada ya muda nikagundua ilikuwa video ya AI aisee imenikata mood sana.