Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Fei mie namuona ni namba 8 zaidi kuliko 10, kama mwalimu akiamua kucheza 4 1 2 3, akiwa na double CM hapo atang'ara zaidi wakati babu kaju anasambaza upendo, yeye anawamaliza wapinzani kwa zile movements zake, dribbling na zile skills zake.
Huu ndio wakati sahihi fei aende nje nae akaimbwe huko, mpira anaujua, sijui shida ni nini haswa.
Mcheze 4123[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaribuni muone kitachowakuta...huu usajili wa sahizi mkija na huo mfumo mtajikuta mnashuka daraja