Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

Ujio wa Khumbu ulisambaratisha penzi langu na katoto kenye ngozi nzuri na sauti kama Wema Sepetu

Aah! Mkuu usininyime kura yako bhana. Haya mastori yasikusababishe ukaikosa Tanzania ya asali na maziwa. Nina mipango kabambe ya kuipaisha hii nchi mkuu. Tayari nishaanza kufanya mawasiliano na wachumi wabobezi kutoka overseas ili wawe washauri wa sera za kiuchumi ili Tanzania iwe nchi ya upper middle economy ndani ya mhula wangu wa kwanza tu. Kampuni za magari nitazileta sifungue viwanda vya kutengeneza magari hapa hapa nchini. Maisha yatakuwa mtelezo balaa. Kwa hiyo hii stori isikufanye uninyime kura mzee.
Konda msafi exposure ya S Afrika uliyoipata sio kwa faida yako tuu nasi tunahitaji kuisoma tupate mwanga japo kdogo leta vtu tusome
 
Back
Top Bottom