Ujio wa kitabu cha Nyuma ya Mapazi na Lazima Ufe Joram

Ujio wa kitabu cha Nyuma ya Mapazi na Lazima Ufe Joram

nameless girl

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
4,195
Reaction score
2,678
Kwa wapenzi wote wa riwaya za gwiji, mwenyewe Ben Mtobwa, sasa tunakuletea kitabu chake cha LAZIMA UFE JORAM na NYUMA YA MAPAZIA. Pia katika mlolongo wa vitabu hivyo, utaweza kujipatia nakala mbalimbali zilizoandika na hayati Mtobwa.
Vitabu hivyo ni kama;
1. Mikataba ya kishetani 10,000
2. Malaika wa shetani 10,000
3. Roho ya paka 10,000
4. Tutarudi na roho zetu 10,000
5. Salamu toka kuzimu 10,000
6. Kiguu na njia 15,000
7. Dimbwi la damu 10,000
8. Mikononi mwa nunda 10,000
9. Najisikia kuua tena 10,000
10. Mhariri Msalabani 6,000
11. Zawadi ya ushindi 10,000
12. Pesa zako zinanuka 10,000
13. Lazima ufe Joram 10,000
14. Nyuma ya mapazia 10,000
15. Mtambo wa mauti 10,000
16. Kimbia Hellena Kimbia 5,000
17. Dar es salaam usiku 10,000
Kwa yeyote ambaye yupo Arusha anaweza kuvipata, kwa watu wa Dar, vinapatikana Posta mpya karibu na sanamu la askari. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tupigie kwa namba 0712504985 au 0763044459.
Karibuni saaaana na ahsanteni sana kwa kutufanya tuweze kuvirudisha vitabu hivi.

20210531_120017.jpg

20210531_120012.jpg

20210531_115951.jpg

20210531_115948.jpg

20210531_115928.jpg

20210531_115922.jpg

20210531_115907.jpg

20210531_115913.jpg

20210531_115833.jpg

20210531_115823.jpg
 
Back
Top Bottom