Ujio wa Neolife hauna tofauti na Forever Living

Ujio wa Neolife hauna tofauti na Forever Living

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kuna wadada wananishawishi sana nijiunge na hii NeoLife is a nutrition company that manufactures and sells superior quality whole food nutrition products, with a mission to make the world a healthier and happier place. NeoLife has been in business for 60 years, since 1958, and operating in over 50 countries around the world.

Wanauza vidawa na sabuni. Ukiiuza kuna commision unapata. Nimeona imeanza kusambaa kama Forever Living

Je, hii sio kama Forever kuna jamaa mke wake kajiunga muda wote yupo semina.

Kama kuna mdau amejiunga anipe hints.
 
Hebu achana na hayo madude, manutrition yapo kibao kwrnye misosi yetu ya asili, mnapata wapi muda kuwasikiliza watu wa aina hiyo.
 
Pro max wa Qnet. Good morning bila kujali ni saa ngapi...
 
Neolife inafundisha wanawake kuwa feminist.
 
Back
Top Bottom