Ujio wa pesa ya madafu, Jay Mo kabadilika sana

Huwezi kumuelewa Juma kama unapenda nyimbo za wakata viuno kama Shilole ..

Sawa sawa, unadhani akifanya show utaingia?

Au akitengeneza album kwa nyimbo za namna hiyo atauza?
 
Mi ni shabiki wake tangia yupo makumbusho kabla ajahamia Sinza E. Ata akiimba mchiriku ntanunua na show ntaingia in short AM A DIE HARD FANS OF MTEULE.

Sawa sawa, unadhani akifanya show utaingia?

Au akitengeneza album kwa nyimbo za namna hiyo atauza?
 
ndo MC pekee nae muelewa kwenye bongo hiphop. Na mimi nadhani hajapata hrshima anayo stahili. Kuna hi January to December kaimba na Inspector, kamfunika Haroun mbayaa
Kwa uwezo wa jay mo ni sawa na nini sijui nifananishe, fananisha mwenyewe nisije mkwaza mtuu.. Jay mo yuko mbali mnoo
 
"Me navyotafuta,wee uliza viatu"
Mwisho wa kunukuu..
Mo Technique,Mo Flava.... Booonge moja la ngoma.
YNWA
 
nampenda sana j mo more technics na goma lake maisha ya boarding, tingisha kama kiberit na ngwea kimya kimya au alieko na tid chumvini daa jamaaa mtamu bana.
 
Hata sh 100 zinapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu
 

Attachments

  • 1464988019450.jpg
    33.6 KB · Views: 31
mziki wa bongo.. umebinafsishwa na diamond na ali kiba.. msanii mwingine hata afanye nyimbo gani mashabiki hawana mzuka nae...

mziki wa siku hizi unaendana na kiki za kutoka na majimama au watu maarufu
MAJIMAMA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Usichanganye!!!.."HILI GAME" kaimba juma nature sio juma mchopanga
 
Anafanya video na Kwetu Studio

itakuwa ndio video yake ya kwanza binafsi sina uhakika kama jamaa alishawahi kufanya video zaidi ya za kushirikishwa tuh...yupo poa ila mfumo wa bongo fleva haumtendei haki mbakiaji
 
Wasanii wangine hawapo serias kabisa, nimemwangalia jana anasahau kurap had nyimbo zake kwenye show ya FNL

Ndio akipata show utasikia tuimbe wooooote...
 
Usichanganye!!!.."HILI GAME" kaimba juma nature sio juma mchopanga
Naona ndugu hufuatilii game ya muziki Wa vijana wetu. Hivi hujawahi kusikia nyimbo zenye jina moja lakini mashairi tofauti!?
 
Ngoma nzuri sana, sasa wadau tusiandikie mate wakati wino upo, kama vipi tuvamie MKITO kuipakua ili tumuwezeshe. Lakini pia msisahau dude lililotoka usafini (Rich Mavoko na dude lake la ibaki stori) kulifanyia kweli uko MKITO ndiko wanakopata hela.
Unapo zungumzia muziki nchini unamaanisha wasafi. Wapo wengine wa mwendo kasi hapo kariakoo.

Tuache ushabiki yaani Kiba kapakua ngoma wiki 2 tu kapotezwa kabisa.
 
Amepaniki...... sijamuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…