Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Huwezi kumuelewa Juma kama unapenda nyimbo za wakata viuno kama Shilole ..
Sawa sawa, unadhani akifanya show utaingia?
Au akitengeneza album kwa nyimbo za namna hiyo atauza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kumuelewa Juma kama unapenda nyimbo za wakata viuno kama Shilole ..
Sawa sawa, unadhani akifanya show utaingia?
Au akitengeneza album kwa nyimbo za namna hiyo atauza?
Kwa uwezo wa jay mo ni sawa na nini sijui nifananishe, fananisha mwenyewe nisije mkwaza mtuu.. Jay mo yuko mbali mnoondo MC pekee nae muelewa kwenye bongo hiphop. Na mimi nadhani hajapata hrshima anayo stahili. Kuna hi January to December kaimba na Inspector, kamfunika Haroun mbayaa
ndo MC pekee nae muelewa kwenye bongo hiphop. Na mimi nadhani hajapata hrshima anayo stahili. Kuna hi January to December kaimba na Inspector, kamfunika Haroun mbayaa
MAJIMAMA[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mziki wa bongo.. umebinafsishwa na diamond na ali kiba.. msanii mwingine hata afanye nyimbo gani mashabiki hawana mzuka nae...
mziki wa siku hizi unaendana na kiki za kutoka na majimama au watu maarufu
Unajua mkuu Jay Moe ni mmoja kati ya wasanii Wa kwanza kabisa Wa bongo flava. Hawa hawakuonja Pesa ya makampuni kama sasa sikiliza wimbo Wa Jay Moe "hili game" utaelewa.
Kipindi hicho walitegemea mauzo ya kaseti kwa mdosi tens hata mauzo sahihi hawakuyajua. Kwa hiyo hata kama tulinunua kazi zao bado ni Pesa ndogo sana walipata. Shilingi 200 kwa kaseti moja ndio Pesa walikuwa wakilipwa.
Kwa hiyo kinachowabeba wasanii Wa sasa ni shows na uwekezaji Wa makampuni kwani game imeshakuwa biashara bila kusahau kampeni za siasa. Labda ujiulize kama kweli akina Diamond na Kiba wana support ya kutosha kwa nini hawatoi albums!?
Anafanya video na Kwetu Studio
Usichanganye!!!.."HILI GAME" kaimba juma nature sio juma mchopanga
Naona ndugu hufuatilii game ya muziki Wa vijana wetu. Hivi hujawahi kusikia nyimbo zenye jina moja lakini mashairi tofauti!?Usichanganye!!!.."HILI GAME" kaimba juma nature sio juma mchopanga
Unapo zungumzia muziki nchini unamaanisha wasafi. Wapo wengine wa mwendo kasi hapo kariakoo.Ngoma nzuri sana, sasa wadau tusiandikie mate wakati wino upo, kama vipi tuvamie MKITO kuipakua ili tumuwezeshe. Lakini pia msisahau dude lililotoka usafini (Rich Mavoko na dude lake la ibaki stori) kulifanyia kweli uko MKITO ndiko wanakopata hela.