ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Ujio wa Raisi Kagame una maana kubwa sana kidiplomasia na unadhihirisha ushupavu wa Mama Katika anga za kimataifa ,
Hongera sana Mh Mama Samia kwa kuendelea kuifungua Tanzania kimataifa. Ujio wa Rais Kagame ni uthibitisho wa heshima na uongozi wako mahiri. Ujirani mwema ndio msingi wa amani na maendeleo ya Afrika Mashariki. Tunajivunia sana