UJIO WA TCU na MOEVT DELEGATES UJERUMANI HUKU TATIZO SUGU LIKIWA HALIJATATULIWA

kalukenge

New Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Kesho kutakuwa na msafara wa viongozi wa TCU na Wizara ya Elimu(MOEVT) utakaotembelea ofisi za DAAD, mjini Bonn nchini Ujerumani. Msafara huu utaongozwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu pamoja na kiongozi mkubwa wa TCU. swala hasa ni kuhusiana na ufadhili unaotolewa na wizara ya elimu pamoja na DAAD kwa masomo ya PhD, kwa wahadhiri wa kitanzania nchini Ujerumani.

ufadhili huu umegubikwa na tatizo kubwa la ucheleweshaji wa fedha toka Tanzania, kila mara likihahidiwa kutatolewa. Kwa mara nyingine tena hili tatizo limejirudia tena kipindi hiki ambapo mwaka wa kwanza ambao walitakiwa walipwe hela za miezi mitatu tangu Septemba mwishoni, mpaka leo hawajalipwa. Mbaya zaidi kulikuwa hakuna taarifa zilizotolewa toka Tanzania kwa wanafunzi hao walioko Ujerumani lini hela zitatumwa au kwanini zimechelewa.

swali kwa viongozi hao wanaokuja, wanakuja kufanya nini Ujerumani wakati tatizo kuu halitajatatuliwa? Je kuna tatizo gani linalofanya mara nyingi hela zichelewe? Je wanajua huo uchelewashaji unavyoathiri wanafunzi hao , ukizingatia wako nchi ya Ugenini?
 
Acha kudanganya Umma hasa wasiojua niko Ujerumani mwenyewe na ninasoma kwa ufadhili huo. hela kwa semister hii zimetumwa toka mwezi wa Tisa mwanzoni na zilitumwa almost two weeks kabla haya unayatoa wapi kaka au unahela zako unadai wizara ya elimu na hawajakulipa ili tujipange kukusaidia kudai?

Kesho kutakuwa na msafara wa viongozi wa TCU na Wizara ya Elimu(MOEVT) utakaotembelea ofisi za DAAD, mjini Bonn nchini Ujerumani. Msafara huu utaongozwa na Katibu mkuu Wizara ya Elimu pamoja na kiongozi mkubwa wa TCU. swala hasa ni kuhusiana na ufadhili unaotolewa na wizara ya elimu pamoja na DAAD kwa masomo ya PhD, kwa wahadhiri wa kitanzania nchini Ujerumani.

ufadhili huu umegubikwa na tatizo kubwa la ucheleweshaji wa fedha toka Tanzania, kila mara likihahidiwa kutatolewa. Kwa mara nyingine tena hili tatizo limejirudia tena kipindi hiki ambapo mwaka wa kwanza ambao walitakiwa walipwe hela za miezi mitatu tangu Septemba mwishoni, mpaka leo hawajalipwa. Mbaya zaidi kulikuwa hakuna taarifa zilizotolewa toka Tanzania kwa wanafunzi hao walioko Ujerumani lini hela zitatumwa au kwanini zimechelewa.

swali kwa viongozi hao wanaokuja, wanakuja kufanya nini Ujerumani wakati tatizo kuu halitajatatuliwa? Je kuna tatizo gani linalofanya mara nyingi hela zichelewe? Je wanajua huo uchelewashaji unavyoathiri wanafunzi hao , ukizingatia wako nchi ya Ugenini?
 
Nilichodanganya umma ni kipi? Hili sio tataizo sugu?

Na kwamba walioanza na hii scholarship mwezi huu wa October mpaka sasa hawajalipwa hela! Ninafahamiana na wathirika wa hili suala na mpaka sasa hawajapata hela toka wizarani,ambazo zilitakiwa zilipwe Septemba mwishoni.

Nitake radhi kwa kunniita muongo wakati suala ninauhakika nalo! Wewe na wa miaka mingine kupata hizo hela haaimanishi wote wamepata hela!
 
Back
Top Bottom