Ujio wa Tundu Lissu utawaunganisha CCM

Pia wabunge hujikita kupambania maendeleo ya majimbo yao. Kutokana na changamoto zinazoibuliwa na wapinzani. Kwa miaka 5 ya utawala wa Raia Magufuli ni Jimbo gani limefanya kitu cha maana?? ukiachilia miradi ya kitaifa? Kila mbunge alikuwa anatembelea nyota ya Jpm.

Ukimuuliza Mbunge wa Kilosa amewafanyia nini wana kilosa anakujibu kuaa Serikali imejenga Fly over na SGR😀😀😀
 
Waandamane mbele ya mabomu? Wananchi wana akili eti
 
Ok
Watabana wataachia tu ni principle and law of nature
 
Ccm wanajua kuwa ata waungane vp hawamwezi Lissu, kile kichwa kiache kama kilivyo.
Nakumbuka kampeni zilizopita JPM alitoa haadi kwamba Lissu aache kufanya kampeni ili aje amjumuishe kwenye serikali yake, jibu alilolipata mimi sijui
 
Chama chenye mizizi kinazima internet ili wananchi wasisikie upande wa pili
 
Kitu ambacho ulipaswa kusema ni kwamba ni afadhali mara kumi ccm wangemwachia Mbowe aendeleze harakati mwenyewe na wenzake waliopo kuliko Lisu kurudi na kulisimamia hili jambo
Kwa sasa watu wengi hawana uthubutu
Lisu huwa hana konakona
Kwa hiyo atainfluence watu wengi sana ukizingatia kwamba kuna mamia kama siyo maelfu ya watu ambao wanatafuta pa kuanzia na hawapaoni akija Lisu na ile confidence yake utaona watu watakavyoibuka kushinikiza hiyo katiba ccm watakuwa na wakati mgumu sana


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sure upinzani Huwa unasaidia sana, serikali na wabunge kutokujisahau maana ushindani Huwa ni mkubwa na serikali Huwa haijisahau, kuanzia wabunge wa ccm, upinzani hupambana kuwaletea wananchi maendeleo.
So upinzani ni muhimu kwa nchi, ccm na taifa, na Rais akiruhusu ushindani wa siasa utaona sukuma gang, sijui ndugai na Wana ccm wanaanza ku focus na majimbo Yao na kuacha kumshambulia Rais Kwa vitu vya kijinga
 
Na wao wanalijua sema huko tulikotoka sio kabisa
 
Nahisi mtoa maada kala sijui maharage ya wapi, tusubiri muda maana hauongopi uje udhibitishe andiko lako.
 


Watanzania wapi hao Mkuu?
 
N
A wewe si uandike la kwako kama unaona ndo linafaa hivyo?
Wewe unataka watu wawe na akili kama zao,
Andika na wewe unavyoona yeye kamaliza kuandika.
 
Watanzania wapi hao Mkuu?
Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika binafsi,
Watu maarufu, baadhi ya wanaccm wenye akili na watanzania wengine wanaosuport katiba mpya
Watu hawajapata tu pakuanzia lakini hicho chuma kinakuja kufungua njia na hoja za katiba mpya ambazo raia wako nazo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
CCM ndio chama kilichojidhatiti Kwa kuweka mifumo imara,
Mifumo gani? CCM inatumia dola kubakia madarakani., Acheni uchambuI wenu huu wa michongo.
Eti CCM imeweka mifumo imara!!! Mifumo my foot!
 
HAKUNA KUUNGANISHWA KILA KUNDI LINATAKA URAIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…