Ujio wa Wachina katika biashara Tanzania una upande mzuri pia, tupime mzani umeelema wapi

Ujio wa Wachina katika biashara Tanzania una upande mzuri pia, tupime mzani umeelema wapi

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Pamoja na hofu kubwa ya Ongezeko la Wachina kufanya biashara ndogo ndogo zilizopaswa kufanywa na wazawa nchini lakini wana upande mzuri pia kwa raia wengi ambapo ni watu kupata bidhaa kwa bei nafuu sana pamoja na kuwaondoa MAWINGA na usumbufu wao uliokubuhu katika biashara Kariakoo.
 
Wabongo wavivu saana wanapenda kulilia kama machoko but chinese ni wajasiria mali OG wacha watunyooshe
 
Tukiangalia upande mzuri: Kwanza bidhaa zenyewe zinatoka hukohuko kwao. Waje wauze bei rahisi ili watu pesa wanazookoa wakafanyie ishu zingine.
 
Back
Top Bottom