Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Wapi chanza cha habari hii mr. Mshana Jr
 
Hawa jamaa ni wamekuja kupora rasilimali zetu
 
Inatoka kirahisi wewe tu

Mbona hadi kwenye simu mtu unakopa

Tatizo ni wewe tu hukopesheki hata kwa ndugu na marafiki hakuna anayrkuamini hata.kukukopesha elfu 10.
Basi utakuwa unagawa Yas-Tigo ndio maana unakopesheka kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…