Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

NAUNGA MKONO 100% UJIO WA WACHINA HATA KAMA WAKIJA MILLIONI 5 ITS OKAY, HAIWEZEKANI VIJANA WAKIBONGO WAO WAMEKAA TU KAZI YAO NI KUBET NA KUTAFUTA MIJIMAMA IWALEE. ACHA WAJE TENA WAJE WENGI ZAIDI YA HAO WATAJENGA MIUNDOMBINU NA VITU VINGI VITABADILIKA NA TUTAJIFUNZA KUJITU A SO KUKAA MAGETONI TU 24/7
 
AKILI YA MBONGO NI NDOGO HATA GENETICALLY, HATUWEZI KUIINUA HII NCHI SISI BILA MSAADA.

NASHAURI WAMWAGWE WANAUME KUTOKA MATAIFA YA ASIA NA ULAYA (WAARABU, WAHINDI, WAISRAEL, WACHINA NA WATU KUTOKA EUROPE) WAJE WAWAPELEKEE MOTO DADA ZETU ILI WAPATIKANE WATOTO AMBAO WANAAKILI ILOCHANGAMKA TAIFA LITAENDELEA.

EBU NAMBIE MOZE IYOBO NA MASHA LOVE WAKIZAA MTOTO ATAKUWA WA AINA GANI?
 

Weak point china uchumia wake ume fly kutokea third world country miaka ya 50's mpaka kuwa first world country kilichochangia ukuaji huu wa haraka hauwezi kuitoa rapid popullation growth maana watu ni resource moja kubwa sana kwenye ukuaji wa uchumi .

Vivyo hivyo india ina population kubwa lakini uchumi wao hauwezi kuta wa china by big margin , See where i am going? Ishu inayobaki ni sera mbovu labda nikupe challenge hebu niwekee sera za late mwalimu nyerere baada ya kupata uhuru aliweka mikakati gani kukuza uchumi wa nchi na ku manage rasilimali nyingi sana ambazo zilikuwepo zikisubiri kutumiwa ?

And tulinganishe na sera za seretse khama .

N.b
Upo sahihi ya nini nifuatilie siasa ambayo najua kabisa what will happen before it even happened ? Kwa mfano Mwaka 2026 raisi ni samia suluhu hassan for the comming good 5 years then baada ya hapo atakayeshika uongozi atatokea CCM for the upcomming 10 years .

Pin hii comment yangu .
 
Wachina ni hatari sana, sio wa kuwaruhusu kuja na kuanza makazi nchi yoyote ile hasa Africa, sbb ni maskini na wanachukua kila kitu na wabaguzi sana, pia wanazaliana sana, hivyo wakija nchini hawaondoki, wanawaleta wenzao toka China sbb ni wengi mnooooo, hatari sana kuwaruhusu wachina kuwekeza makazi nchi yoyote ile.
 
Wageni wanachochea maendeleo sana, nenda nchi kama Australia wachina wapo wengi na wanachangia kwenye maendeleo kupitia biashara, uwekezaji nk......tukibaki wenyewe tutaendelea kudumaa kupitia ufisadi, siasa za majitaka, ubinafsi, kujuana na mautumbo utumbo kama hayo ya ngozi nyeusi.
 
Hili Nimeliona Mkoa Mmoja Wananunua Maeneo Ambayo Wakishika Basi Wazawa Mtafyata
Wananunua ardhi kupitia sheria ipi mkuu? Najua sheria yetu hairuhusu mgeni kumiliki ardhi. Pia sheria ya uwekezaji hammilikishi mgeni miaka 99.
 
Mpango wa China ni kuhakikisha by 2050 Afrika iwe na Wachia milioni 500 wakati ninyi hamna mkakati wowote ule wakuhakikisha mna exist
Yaani! Na wanawapa fedha na kuwambia waondoke waje Afrika. Huku kwetu viongozi hata hawajui wananchi wao wataendeleaje. Aisee mwafrika hakutakiwa kuwepo duniani maana karne na karne hajitambui
 
Mwenye masikio na asikie,kama una Akili ya kuona mbali huu ndio wakati wa Kuhodhi maeneo ya Ardhi yenye Madini na Rotuba nzuri kwa ajili ya kilimo(ufugaji) sio kwa ajili yako bali kwa vizazi vyako miaka 50 inayokuja,bila hivyo siku moja mtaona wajukuu zetu wakiwa Manamba ndani ya nchi yao kwa ujila wa Chakula tu👌🏿
 
Wananunua ardhi kupitia sheria ipi mkuu? Najua sheria yetu hairuhusu mgeni kumiliki ardhi. Pia sheria ya uwekezaji hammilikishi mgeni miaka 99.
Lete ushahidi na mimi nilete wangu.. Tuongee kwa facts sio maneno
 
Mwenye macho na alione na kulisoma andiko hili.
 
Wananunuaje maeneo wakati sheria yetu ya ardhhi hairuhusu mgeni kuuziwa ardhi isipokuwa tu kwa ajili ya uwekezaji
Hawanunui mkuu, ila wanakodisha kwa mikataba mirefu. Ni kama ukienda sehemu za high profiles kama oysterbay; maofisi mengi na sehemu za biashara unakuta ni za watu wageni wameingia mikataba na local owners for 15+ years.
 
Naona kuna upotoshaji mwingi hapa ama kuna watu hawaelewi haya mambo ya ardhi
Wachina wanajua kwa hakika hawawezi kuuziwa ardhi hivyo
Tatizo sio sheria za nchi bali tunakosa viongozi wazalendo.
Sahihi kabisa.. Sahihi mno..!
 
Hawanunui mkuu, ila wanakodisha kwa mikataba mirefu. Ni kama ukienda sehemu za high profiles kama oysterbay; maofisi mengi na sehemu za biashara unakuta ni za watu wageni wameingia mikataba na local owners for 15+ years.
Huku industrial areas.. Wananunua kea wenyeji wanalipa cash kisha wanaenda TIC kupata documents za kukodisha kwa miaka 99
 
Hili ni tishio kwa usalama wa Taifa letu.

CCM inachokifanya sasa ni kuchonga sanamu na kumfanya mungu wao ili kila mtu aabudu sanamu hilo..

Niliwahi siku moja kukaa na Polepole alipokuwa Mwenezi Taifa ambapo nilimweleza hofu yangu ya viwanda bubu pamoja na uvunjivu wa haki za binadamu kwenye makampuni na kandarasi chini ya wachina. Alinijibu nchi i ajua lakini inabidi wafumbe machokwa sababu China inamwagaa misaada mingi kwa serikali na chama......

Eleweni ninachokisema na kukipima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…