Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

Ushahidi wa kutouziwa maeneo kwa 99 years
Kasome sheria ya kumiliki ardhi mkuu, pamoja na Katiba ya nchi. Kuna mhindi alikuwa anamiliki maeneo makubwa sehemu za Mwanza alipogundulika ana uraia wa UK alinyang'anywa maeneo instantly.
 
Kwa nchi ambayo mtu kama Kondakta ndiyo anaonekana bonge la kiongozi, wazee tukubali tukatae bongo hakuna viongozi.

Tusubiri matamasha kibao tukielekea kampeni kwasababu ndiyo wanaamini shida zetu.

Nashukuru TISS wamekuwa wazalendo kwa nchi yao.
 
Kasome sheria ya kumiliki ardhi mkuu, pamoja na Katiba ya nchi. Kuna mhindi alikuwa anamiliki maeneo makubwa sehemu za Mwanza alipogundulika ana uraia wa UK alinyang'anywa maeneo instantly.
Sheria zipo tena very clear.. Lakini kwa ground mambo ni tofauti kabisa trust me.. Nipo field najua ninachokiongea
 
Sheria zipo tena very clear.. Lakini kwa ground mambo ni tofauti kabisa trust me.. Nipo field najua ninachokiongea
Mkuu hata sisi tupo field kama wanafanya kinyume na sheria itakula kwao. Nimekupa mfano wa yule mhindi ambaye alinyang'anywa mashamba kwa kuwa alikuwa na uraia wa UK.
 
Mkuu hata sisi tupo field kama wanafanya kinyume na sheria itakula kwao. Nimekupa mfano wa yule mhindi ambaye alinyang'anywa mashamba kwa kuwa alikuwa na uraia wa UK.
Karibu Pwani ujionee maajabu.. Na mikoani pia
 
Nanukuu: ".......makazi ya kudumu huku wakipora kila kitu chetu kizuri.. "
Mimi nnavyojua Kupora ni kuchukua kitu kisicho mali yako kwa nguvu au kwa ujanja(Maarifa). Kama hao laki tatu watafuata utaratibu uliowekwa kisheria sidhani kama wanastahili kuitwa ni Waporaji.
 
Nasikitika kusema 2099 hakuna mwanajf atakaekuepoπŸ€”kwa wenye umri wa miaKa 22+
 
Nipe mfano mmoja tu wa mchina anayefuata utaratibu kwa asilimia 100
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Sasa umeweka bi ushungi anahangaika na Slaa unategemea nini?
 
Wajenge viwanda vya uzalishaji sio wake kuwa wachuuzi. Serikali muwe makini mazee isiwe another version ya DP.
Wanajenga vingi sana lakini
Material ya ujenzi 90% wanatoa kwao
Tenda wanapeana wenyewe
Ni wakwepa kodi wakubwa
Hawafuati sheria za kazi
Pesa wanazoingiza zinasafirishwa China kwa njia zisizo rasmi na kuikosesha serikali mapato mengi
 
umechelewa sana mkuu...siku hizi fursa inakuwa ni ya watu flani
 
Kuna uwezekano wanatumia sheria ya uwekezaji ambayo inamruhusu kumiliki ardhi kwa ajili ya uwekezaji tu pamoja na masharti mengine.
Iko hivi madalali wa kichina wana watu wao.. Wanawalipa 1M kwa ajili ya kusimama kama wanunuzi.. Kisha wakishanunua ndio wanasajili kampuni na kumpa mbongo adilimia chini ya kumi
Baada ya hapo wanantafuta mteja atakayekwendwa TIC ..
 
Nipe mfano mmoja tu wa mchina anayefuata utaratibu kwa asilimia 100
Unataka kusema hao Wachina wote waliojazana hapo Dar ni "wazamiaji" au wapo hapa nchini kimagumashi? Mbona hawakamatwi?
Mtu yeyote asiyefuata utaratibu na bado akabaki huru huo ni Udhaifu kwa upande wetu sisi tunaotakiwa kuzilinda Sheria tulizojiwekea wenyewe. Umaskini wetu kiakili na kiuchumi, ukijumlisha hapo na njaa zetu ndo vinatupeleka huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…