fikrayangu1
Member
- Aug 30, 2012
- 16
- 9
Nimeamua Rasmi kuketi kwenye Jamvi hili la JF, naamini ni sehemu muhimu ya kutoa mawazo yangu na kuwafikia walengwa moja kwa moja katika lengo la kurekebisha,kukosoa na hata kupongeza ikibidi. Naamini katika hayo na pia naamini nitatumia nafasi hii kuwakilisha mawazo yangu kadili nitakavyoona.
Asanteni
Asanteni