Ujiulize siku ukiamka ukakuta Internet haipo!

Ujiulize siku ukiamka ukakuta Internet haipo!

Vipo vitu vizuri kuliko internet
Nitafanya vingine navyopendaga kufanya kama kusikiliza mziki,kucheza game,kuangalia movie
Best kumbe na wewe ni muhanga wa magame kama mimi?

"Utamu hauna siri"
 
Uliwahi kujiuliza siku ukiamka ukakuta internet haipo,hakuna instagram,whatapp,facebook emails,google etc.
Nihatua gani utachukua kumaliza hili je utaishi vipi!Fikiria kwa mapana.
Mimi huwezi amini sipo instagram kabisaaaaa na facebook naweza ingia mara moja kwa mwezi na kukaa dk si zaidi ya 5.
Ila bado kuishi bila internet itakuwa ngumu sana. Naitumia sana internet kupata maarifa eidha kwa kusoma mitandaoni googling na youtube au kusoma comments za watu ktk forums. Pia upande wa burudani. Niko ktk forums tofauti za ndani ma nje ya nchi na najumuika ktk mada tofauti huko hivyo kwa kweli ninajifunza mengi sana.
Nikiambiwa napelekwa msituni nikaishi peke yangu mwezi mzima na naambiwa nichague nini cha kwenda nacho nitachagua:
1. Maji
2. Ndizi mbivu
3. Simu yenye chaji ya kutosha na mb za kutosha na inyernet availability. Nafikiri nitasurvive poa tu.
 
intaneti kitu gani bhana

waliotuleta duniani wanagoo,na still life goes on;ndo ije iwe www.com inayotumia jasho langu

kwang internet ni kiburudisho nikiwa na muda natumia
 
Sina la kufanya zaidi ya kukubaliana na khali!!
Nitanunua kibubu hela za bando nitakuwa nadumbukiza humo!
 
Hapo mimi mwendo wa kucheki mipira, movies na kucheza magemu hakuna kitacho haribika
 
Back
Top Bottom