[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daa ziwe zina ning'inia kama firigisi na utumbo auumeamka asubuhi na kitaulo kiunoni unafika nje unakuta sehemu zako za siri zimeanikwa kwenye kamba
Aiseee kutakuwa na maji au?Na je ushawahi jiuliza itakuwaje siku ukiamka ukakuta nje hakupo .??
Sent using Jamii Forums mobile app
Best kumbe na wewe ni muhanga wa magame kama mimi?Vipo vitu vizuri kuliko internet
Nitafanya vingine navyopendaga kufanya kama kusikiliza mziki,kucheza game,kuangalia movie
Best kumbe na wewe ni muhanga wa magame kama mimi?
"Utamu hauna siri"
Mimi huwezi amini sipo instagram kabisaaaaa na facebook naweza ingia mara moja kwa mwezi na kukaa dk si zaidi ya 5.Uliwahi kujiuliza siku ukiamka ukakuta internet haipo,hakuna instagram,whatapp,facebook emails,google etc.
Nihatua gani utachukua kumaliza hili je utaishi vipi!Fikiria kwa mapana.
Hiyo ilishawahi nitokea ila ndotoni nikienda nyumbani hakupo kupo tofauti yaani kila sehemu nikienda nakuta kumebadilika iliniboa sanaNa je ushawahi jiuliza itakuwaje siku ukiamka ukakuta nje hakupo .??
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hakuna Network coverage ndio nitachanganyikiwa sana!... Sijui itakuwaje kutoweza piga simu ongea na mama yangu!.
Vitu vingi vinavumilika ila kutoweza ongea nae mpaka mkikutana ni mtihani sana!..wow...nice!
Vitu vingi vinavumilika ila kutoweza ongea nae mpaka mkikutana ni mtihani sana!..