Mke hana kazi kuubwa ajue tu mipaka yake!.. mengine yanavumilika🙂Wanaume wachache sana wanaowapenda hvyo wazaz wao..!hongera..ila mkeo anakazi😎🤔
Utamwandikia baruaSiku hakuna Network coverage ndio nitachanganyikiwa sana!... Sijui itakuwaje kutoweza piga simu ongea na mama yangu!.
Mpaka aipate na kurudisha majibu si miezi!..Utamwandikia barua
Ntakua ndaniNa je ushawahi jiuliza itakuwaje siku ukiamka ukakuta nje hakupo .??
Sent using Jamii Forums mobile app