Ujuaji: Kwa nini JWTZ hawavai nguo za khaki kama za mgambo.

Ujuaji: Kwa nini JWTZ hawavai nguo za khaki kama za mgambo.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Kwa nini wanajeshi hawajawahi onekana wamevaa camo za khaki kama zile za CHADEMA? Kweli zile baka baka za kijani zinafaa misituni. Lakini kiangazi nchi na karibu ukanda huu wote huwa wa khakhi. Ni kama camo za khakhi Pia zingefaa ziwepo kama ambavyo unakuta nchi za baridi wanagwanda za msituni za kijani, na nyeupe za kwenye barafu.

Hata nature yenyewe inasupport hili.
images (64).jpeg
IMG_2115-2-2048x1365-1.jpeg
impala.jpg
images (65).jpeg
 
Machi yako yanakudanganya kwenye oicha na uhalisia wa kile unachotaka, Mie kwa mtazami wako naona Wavae kijani kama ile ya ccm
 
Back
Top Bottom