Ujue 'Ghost Tree', mti unaowaka kama taa usiku

Joined
Aug 15, 2022
Posts
21
Reaction score
51

Ghost Tree sterculia urens ni mti wa asili unaopatikana kwenye Tropical Rainforest, kwa Tanzania miti hii huonekana sana kwenye misitu ya Tao la Mashariki, inayoanzia milima ya Kipengere hadi Mlima Kilimanjaro.

Mti huu wa ajabu ambao hamna aina ya nyani anaweza kuupanda huwa ni mrefu na unafyonza mwanga wa jua nyakati za mchana na wakati wa usiku huachia nuru yake.


Mti huu unapoachia nuru yake nyakati za usiku hufanya uonekane kirahisi sana hata unapokuwa mbali.

Ukibahatika kutembelea Udzungwa Mountains National Park utauona mti huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…