Ujue kwa undani Uwekezaji wa Sunranch Tanzania

Hivi hiki ulichokiandika hapa, hata wewe mwenyewe unakielewa kweli!!!!
 
Ukiona mtu anaandika figures bila kutenganisha ,000,000 ujue hakuna kitu hapo.

Wajinga ndio waliwao
 
Waache waendelee kuuponda. Wabongo ujuaji mwingi. Kila siku kuilaumu tu serikali kuwa maisha magumu.
Hizo ndo akili za watu maskini mda wote wanaona wanaibiwa.
 
maana watu waliotoa laki 6 hadi sasa ni kama watu 1200, sasa lak 6 x 1200 ni 720,000,000.

Wao watoe milioni 6 x watu 1200 , = 7,200,000,000 ni bilion saba na milioni 200.

Sasa ukichukua bilioni 7 utoe milion 700 ,ni bilion 6 na point ,et waitoe tu for free, hapo ndipo
 
Upuuzi mtupu
 
Hmn ile sun ranch tumepigwa...mm n mhanga...nmepigwa million 4...na nlkuwa nmekopa...siamn macho yangu..hela zetu hatujalipwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwa kweli mpigwe tu hakuna namna.

Haya mambo ya utapeli hapa JF yameshaongelewa sana ila watu bado hamuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…