Ujue mchakato wa kuwasilisha malalamiko katika Kamati ya Malalamiko ya TCRA

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Ikiwa umepata huduma mbovu ya kimawasiliano, iwe kwenye kisimbuzi au mtandao wa simu ambao wote wanaratibiwa na TCRA. Ziko hatua kadhaa za kufuata ili uweze Kamati ya Malalamiko ikusikilize.

1. Kwanza ni kuwaambia kampuni yako (i.e tigo, voda au azam) ili muelezane vizuri

2. Mkishindwana hapo utaweka malalamiko yako mtandaoni TCRA ( https://emrejesho.gov.go.tz/chagua_...6EMX74XYFJZf9NV6nrjnzNiHgtt6Iqhlm6VYeXW2vhplQ )

3. Kama hapo suala lako likishindwa kusuluhishwa inabidi ulipeleke kwenye kamati ya malalamiko ya TCRA.

4. Kama haujaridhika na maamuzi ya Kamati ya TCRA, basi utapeleka shauri lako/malalamiko yako Fair Competition Commision (FCC)

 
Hivi ni mpaka wapelekewe malalamiko? Walikuwa wapi wakati GTV inakufa na watu wakiwa na washalipia vifurushi?
 
Wahuni ukiwaandikia wanakuambia endelea kumfuatilia provider
 
Bongo mteja ni nyani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…