Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ni wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine.
Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari.
Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu wa Formula One.
Unaangaliwa zaidi:
*Teknolojia za injini
Mchezo huu upata washiriki wengi wanaotengeneza injini zao zenye uwezo mkubwa kiteknoljia ili kuonesha nani ni bora .mfano honda,bmw,toyota,ferrari na n.k
*Uzoefu wa madereva
Mchezo huu uchukua madereva walio na uwezo wa kuendesha magari haya kwenye mashindano ili kujua wanaweza kuimili njia na teknolojia ya magari F1.
*Biashara za makampuni
Sio lazima kuwa mtengenazaji wa injini wala gari. Makampuni mengi ujitangaza kwenye bidhaa zao nao kuweka magari na madereva mfano kampuni ya Redbull, shell, BP, emirate na n.k.