Ujue mchezo wa Formula One

Ujue mchezo wa Formula One

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ni wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine.

Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari.

Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu wa Formula One.

Unaangaliwa zaidi:

*Teknolojia za injini
Mchezo huu upata washiriki wengi wanaotengeneza injini zao zenye uwezo mkubwa kiteknoljia ili kuonesha nani ni bora .mfano honda,bmw,toyota,ferrari na n.k

*Uzoefu wa madereva
Mchezo huu uchukua madereva walio na uwezo wa kuendesha magari haya kwenye mashindano ili kujua wanaweza kuimili njia na teknolojia ya magari F1.

*Biashara za makampuni
Sio lazima kuwa mtengenazaji wa injini wala gari. Makampuni mengi ujitangaza kwenye bidhaa zao nao kuweka magari na madereva mfano kampuni ya Redbull, shell, BP, emirate na n.k.
 
Yes mkuu Nami ni mpenzi sana wa F1, mimi ni Red team na Monza GP ndio HQ yetu, ninajifunza mengi nikiwa dereva hasa uendeshaji kama breaking zones, driving lines, overtaking, defensive driving, hope's mwaka huu tutabeba ubingwa wote yaani construction na dereva bingwa;Muda sio mrefu kipenga kitalia kuanzia Australia, Africa bado hatuna hii baada ya 🦎 kufanya yao (ngozi hii ni shida kubwa)
 
Team RedBull Racing wana madereva wamoto sana kama yule dogo SERGIO PEREZ..anaweza sana
Mkuu Sergio Perez (checo) sio dereva mdogo, ni 33yrs. Labda ulikuwa unazungumzia Max Verstappen ( 25yr) ndio dereva wa moto sio redbul racing tu bali ndio the best F1 driver at the moment.. Kijana ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Thanks..kwa kumbukumbu ni max
 
Yes mkuu Nami ni mpenzi sana wa F1, mimi ni Red team na Monza GP ndio HQ yetu, ninajifunza mengi nikiwa dereva hasa uendeshaji kama breaking zones, driving lines, overtaking, defensive driving, hope's mwaka huu tutabeba ubingwa wote yaani construction na dereva bingwa;Muda sio mrefu kipenga kitalia kuanzia Australia, Africa bado hatuna hii baada ya [emoji1656] kufanya yao (ngozi hii ni shida kubwa)
Mkuu Ferrari wanachangamoto nyingi, strategywise wako very poor, last year wamefanya mistake nyingi sana. Japokuwa wamefanya changes kama kumuondoa Binoto ila bado sidhani huu Mwaka watachukua ubingwa.
RB racing team bado Wana nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao both driver's and constructors
 
Thanks..kwa kumbukumbu ni max
Max(Dutch young driver) ni mtu hatari sana. Yule dogo sikudhani kama atakuja ku maliza utawala wa lewis Hamilton, ila Kwa Sasa imebaki history. RB racing team wakiendelea kuteneneza machine nzuri nadhani ataenda kuvunja rekodi nyingi za haya mashindano ya vyombo vinavyoenda Kwa Kasi zaidi hapa duniani
 
Mkuu Ferrari wanachangamoto nyingi, strategywise wako very poor, last year wamefanya mistake nyingi sana. Japokuwa wamefanya changes kama kumuondoa Binoto ila bado sidhani huu Mwaka watachukua ubingwa.

RB racing team bado Wana nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wao both driver's and constructors

Nakubaliana nawe ,Ferrari mbinu zilituchanganya mno,tulifanya vizuri races za mwanzo ,kama Arsenal tukaanza kujiua enyewseason e, t

Yani hapo ndo umeelezea nini? Hivyo viparagraph viwili vitatu ndo vinatosha kumuelewesha mtu about F1? Futa huu upuuzi mapema sana na ukajipange upya. Ni aibu kwa sisi wapenda F1 kuona upumbavu kama huu
 
Ni wachache wanaofatilia mchezo huu ukilinganisha na michezo mingine.

Kitu ambacho wengi tunachofikiria ni mchezo kama mchezo wa mbio za magari.

Ni kweli ni moja ya mbio za magari ila mchezo huu wa Formula One.

Unaangaliwa zaidi:

*Teknolojia za injini
Mchezo huu upata washiriki wengi wanaotengeneza injini zao zenye uwezo mkubwa kiteknoljia ili kuonesha nani ni bora .mfano honda,bmw,toyota,ferrari na n.k

*Uzoefu wa madereva
Mchezo huu uchukua madereva walio na uwezo wa kuendesha magari haya kwenye mashindano ili kujua wanaweza kuimili njia na teknolojia ya magari F1.

*Biashara za makampuni
Sio lazima kuwa mtengenazaji wa injini wala gari. Makampuni mengi ujitangaza kwenye bidhaa zao nao kuweka magari na madereva mfano kampuni ya Redbull, shell, BP, emirate na n.k.
Enzi za ujana wetu bingwa wa mchezo huu alikuwa ni Michael Schumacher, Mjerumani. Juzi juzi alipata ajali ya mgongo alipokuwa anafanya mchezo wa kuteleza kwa kutumia mabongo kwenye barafu ya milima ya Alps

Unaweza kusoma taarifa zake hapa chini

Miaka 9 iliyopita ndo juzi juzi? Unaishi sayari ipi?
 
Yani hapo ndo umeelezea nini? Hivyo viparagraph viwili vitatu ndo vinatosha kumuelewesha mtu about F1? Futa huu upuuzi mapema sana na ukajipange upya. Ni aibu kwa sisi wapenda F1 kuona upumbavu kama huu
Inasikitisha sana.wewe mwenye maelezo marefu tunaomba utueleza hapa.uliombwa kutukana
 
Back
Top Bottom