Ujue mmea wa maajabu Comfrey

1. Ni mboga na inasemekana kuoandisha cd4 kwa haraka
2. Ni dawa ya kuunga mifupa na kuponya maumivu kwa haraka Sana
3. Inatumika kutakatisha ngozi
4. Ni chakula Cha mifugo
5. Inatumika kuandaa mbolea.
Hayo ndo ninayoyajua kuhusu mmea huo.
Picha ya mmea wa comfrey mkuu
 
Baba yangu alikuwa na huu mmea pamoja na mwingine mithili ya mti.
Ilikuwa shughuli yangu kuitunza na kuimwagilia--Ninachokumbuka ni kwamba hayo majani ukiyaosha ukang'ata kwenye jino linalouma linapoa maumivu.Pia ilifaa kama mboga.
 
Habarini za majukumu;
Niliwahi kuwapeni habari ya mmea unaotwa comfrey ambao unafungua fursa nyingi sana iwapo utautumia kama ambavyo umefanyiwa utafiti. Mmea huu una matumizi mengi na hapa nitakuandika machache ambayo nayajua mimi ...
1. Dawa;
Comfrey imetumika kama dawa kwa binadamu kwa ajili ya kuunga mifupa na kutibu maumivu ya viugo. Wenzetu walishaacha kukatana viungo baada ya kupata ajali. Fuatilia kwenye links ujue namna ya kuandaa comfrey poultice.

2. Mbolea
Mbolea ya comfrey inafanya vyema kwenye mazao yote kuanzia ukuaji hadi utoaji wa maua na matunda. Kikubwa zaidi mbolea hii ina uwezo mkubwa wa kupambana na wadudu waharibifi shambani / bustanini ..

3. Chakula cha mifugo
Majani ya comfrey yakitumika kama chakula cha mifugo huongeza wingi na ubora wa mazao yatokanayo na mifugo - maziwa na mayai yanakuwa bora zaidi. Pia afya ya mifugo huboreshwa kwa majani ya comfrey.

4. Urembo
Mmea huu hutumika kutengenezea mafuta ya asili ambayo husaidia kulainisha ngozi kwa mtumiaji.

5. Pambo
Mmea wa comfrey ni ua zuri sana ukiupanda nyumbani / bustanini kwako. Una rangi halisi ya kijani na unavumilia hali ya ukame.

6. Biashara
Mmea wa comfrey unakufungulia fursa ya biashara ya mbolea ya maji ya asili pamoja na uuzaji wa miche yake.

7. Utunzaji wa mazingira
Mmea wa comfrey ni rafiki wa mazingira ...

Kwa ufupi pitia maelezo haya chini na kwa mahitaji ya miche ya comfrey unaweza kuwasiliana na uongozi wa MDI - Mwasenda Development Intervention, tupo jijini Mwanza; Tupo Nyasaka Centre karibu na stand ya Buzuruga; mawasiliano yetu ni 0655 533 543 au 0754 533 543

Comfrey Fertilizer: Information About Comfrey Tea For Plants

Comfrey is more than just an herb found in cottage gardens and seasoning blends. This old fashioned herb has been used as both a medicinal plant and food crop for grazing animals and hogs. The large hairy leaves are an excellent source of the three macro-nutrients found in fertilizer. As such, it makes an excellent liquid fertilizer or composted tea to feed plants and help reduce insect pests. Making comfrey tea for plants is easy and requires no special skills or tools. Try comfrey fertilizer on your plants and see the benefits in your garden.

Comfrey as a Fertilizer: All plants need specific macro-nutrients for maximum growth, bloom, and fruiting. These are nitrogen, phosphorus, and potassium. Much like humans, they also need micro-nutrients such as manganese and calcium. Comfrey has the three major nutrients plus high levels of calcium, which can be very beneficial if harvested and made into comfrey tea for plants. This nutrient-rich food is applied as a liquid soil drench or as a foliar spray. The composted leaves yield a rich deep greenish brown liquid. The nitrogen content in comfrey fertilizer helps with green leafy growth. The phosphorus helps the plants remain vigorous and fight off disease and pest damage. Potassium is instrumental in flower and fruit production.

Comfrey Plant is a hardy perennial plant that grows quickly. The plant needs no special care and grows in partial shade to sun. Harvest the leaves and put them just halfway in a container. Wear long sleeves and gloves to protect your hands and arms from the prickly hairs on the leaves. Making comfrey tea will only take a few weeks. Weight the leaves with something heavy to hold them down and then fill the container with water. In about 20 days you can strain out the leaves and the deep brew is ready to add to your containers or spray on garden beds. Dilute the comfrey plant food with water by half before you apply to plants. Use the removed leaf debris as a side dressing along your vegetable plants.

A Pesticide-Free Fertilizer for Your Garden: How to Make Compost Tea​

You can also try using comfrey as mulch or as a compost enhancer. Comfrey Fertilizer and Mulch The herb’s leaves are easy to use as mulch. Nature will take its course and soon complete the rotting process, allowing the nutrients to seep into the ground. Just spread the leaves around the edges of plant roots and then bury them with 2 inches (5 cm.) of soil. You can also dig a trench 6 to 8 inches (15-20 cm.) deep and bury chopped up leaves. Plant fruiting vegetable seeds on top but avoid leafy and root crops. Comfrey as a fertilizer has many forms, all of which are easy to use and make. The best thing about the plant is you can cut the leaves several times in a season for a constant supply of this nutrient-rich, useful herb.

Read more at Gardening Know How: Comfrey Fertilizer: Information About Comfrey Tea For Plants StackPath

 
Kwa kiswahili unaitwaje huo mmea mkuu?...ila siyo mgeni machoni kwangu huu mmea.
Huu mmea ulitoka Urusi na kisambazwa hadi nchi za Ulaya; hapa kwetu waswahili wanauita majina tofauti kulingana na mwonekano wake kwenye majani lakini hakuna jina lake kwa kiswahili.

Kuna mtu mmoja miaka ya 90 aliuelezea aiuita KONFURE; Niliutafuta nikaukosa hata kwenye kugoo, lakini nimekuja kuupata nchi jirani nao wanauita comfrey kwa sababu wao wanatumia lugha ya kiingereza.

Nakushauri ukagoogle comfrey health benefitis unajifunza mengi zaidi ya haya niliyoandika.

Miaka mingi Tanzania tumekuwa tukipokea mbolea ya maji ya asili inayoitwa com-fert kumbe ni product ya huu mmea.

Nimeitumia sana kuzalisha hydroponics fodder - chakula cha mifugo.
 
Ahsante...
 
Huu mmea ulishapigwa BAN marekani kutokana na kusababisha uharibifu wa maini na hata Cancer.

Ilikiwa ikitumika kama dawa ya magonjwa mengi sana na kutengeneza Mbolea.

Baada ya Uchunguzi USA wakapiga marufuku kwasababu ina madhara makubwa.
 
Tahadhari, mmea huu unasumu hatari sana ya PYRROLIZIDINE endapo utaula au utaunywa.
 
Huu mmea ulishapigwa BAN marekani kutokana na kusababisha uharibifu wa maini na hata Cancer.

Ilikiwa ikitumika kama dawa ya magonjwa mengi sana na kutengeneza Mbolea.

Baada ya Uchunguzi USA wakapiga marufuku kwasababu ina madhara makubwa.
Mara nyingi vitu vinavyopigwa marufuku nyuma ya pazia unakuta vina faida kubwa kuliko hasara ila unakuta kuna wachache wanatetea maslahi yao
 
H
 
Haya si mambo tunayopenda hapa JF na angalia toka thread hii imewekwa mpaka leo kuna replies au waliosoma wangapi..!.
 
Ahsante kwa shule.
 
Huu mmea ulishapigwa BAN marekani kutokana na kusababisha uharibifu wa maini na hata Cancer.

Ilikiwa ikitumika kama dawa ya magonjwa mengi sana na kutengeneza Mbolea.

Baada ya Uchunguzi USA wakapiga marufuku kwasababu ina madhara makubwa.
Tahadhari, mmea huu unasumu hatari sana ya PYRROLIZIDINE endapo utaula au utaunywa.
Je, hayo ni kweli kuhusu mmea wa comfrey?!!
Tutor B
 
Huu si mchunga kweli au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…