Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
Ujue mmea wa mkandandogowe kisayansi psorospermum febrifegum Matatizo ya Ngozi (Upele, Fangasi, Vidonda)
mkandandogowe unajulikana kwa kutibu magonjwa ya ngozi kama ukurutu, fangasi, na vidonda vya ngozi.
1. Kwa kunywa kwa mtu mzima ni kijiko cha chakula katika uji mara mbili kwa siku.
2. Kwa kupaka: chemsha 300gm katika nusu lita maji, ikianza kuchemka ruhusu ichemke kwa dakika 10, ipua. Ikishapoa, chuja na iandae lotion. Anapaka eneo lililoathirika asubuhi na jioni kwa siku saba.